VI2KO BLOG NI BLOG KWA AJILI YA VITUKO UNAWEZA KUPOST KITUKO CHAKO NA KIKAONEKANA KATIKA BLOG HII TUMA SMS KUPITIA NAMBA 0782889882 AU E-MAIL KUPITIA vi2koBlog@yahoo.com au KWENYE FACEBOOK FAN PAGE YETU BILA KUSAHAU NA JINA LAKO

ADV

Thursday, July 19, 2012

VITUKO NA VICHEKESHO USWAZI

Jamaaa yupo kiabiashara zaidi na new style ya surual "DOUBLE BELT"

picha A                                       picha B 

Sasa hapo kwenye picha A ukiangalia kwa kukurupuka unaweza ukazan ki2 kinghine kabisa ambacho hakikualengo kamili la picha hiyo.
hapo sasa utata tupu kwenya picha B

Mambo ya uswahilini sasa Jamaa kashikwa UGONI anatembezwa UCHI mtaa mzima sasa hapo ndio utajua mke wa m2 sumu jamaa kawa mdogo kama piriton vle

No comments:

Post a Comment